(VIDEO) GARI YA MANJI ILIVYOSUKUMWA NA MASHABIKI WA YANGA
Yusuf Manji ambaye ni mwenyekiti aliyejiuzulu nafasi yake ndani ya Klabu ya Yanga, jana alikuwa kivutio kwa mashabiki wengi wa timu hiyo wakati alipohudhuria mchezo wa timu yake katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Tazama video jinsi ambavyo mashabiki walivyokuwa wakimshangilia na kusukuma gari lake wakati akitoka kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments