Header Ads

Basi la Kampuni ya Prince Line Lapata Ajali Kibaigwa..Dodoma


Inaelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni Lori lililokuwa linakatiza barabarani, dereva wa basi alipojaribu kulikwepa ndipo ajali hiyo ikatokea
-
Basi hilo lilipoteza uelekeo na kutoka nje ya barabara na kwenda kugonga gema
-
Majeruhi kadhaa wa ajali hiyo wamekimbizwa hospitali kwa matibabu.


No comments

Powered by Blogger.