Header Ads

Mchezaji Asamoah Gyan Adaiwa Kufilisika...Akaunti yake ina Milion Moja tu


Inaripotiwa kwamba Mwanasoka wa Ghana Asamoah Gyan ambae aliwahi kuwa Mchezaji anayelipwa zaidi duniani akiwa anapokea zaidi ya Tsh. Milioni 658 kwa wiki amefilisika kwa sasa, inadaiwa Gyan ana Tsh. Milioni 1 na Laki 7 kwenye akaunti yake kwa sasa.


No comments

Powered by Blogger.