Header Ads

Maiti za Watoto Zaopolewa Baharini Mkoani Mtwara


Watoto hao ni Salumu Hamza(8) na Rajabu Athuman(12) wakazi wa kijiji cha Mgao katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara na walizama wakati wa kusherehekea mwaka mpya

Polisi wamesema walizidiwa maji wakati wanaogelea pasipokuwa na uangalizi na wameopolewa Bahari ya Hindi. Uchunguzi unafanyika kuhusu tukio hilo.


No comments

Powered by Blogger.