Header Ads

Mwili wa Mwalimu Aliyepotea 2006 Baada ya Kupokea Mafao Wapatikana


HABARI KATIKA PICHA: JamiiForums tuliripoti kuhusu kupatikana kwa mabaki ya mwili wa Mwalimu mstaafu, Alison Mcharo aliyetoweka 2006 baada ya kupokea mafao

Hizi ndio picha halisi za mabaki hayo


Mkewe na Mwanaye wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo.


No comments

Powered by Blogger.