Nigeria: Rais Buhari Amemteua Ndugu yake Kushika Kitengo Nyeti cha Tume ya Uchaguzi
Aliyeteuliwa na Rais Muhammadu Buhari ni Amina Zakari(anadaiwa ni ndugu yake) ambaye atahusika kukusanya na kujumlisha matokeo ndani ya Tume ya Uchaguzi
Tume hiyo ndiyo yenye mamlaka ya kusimamia Uchaguzi Mkuu wa mwezi Februari mwaka 2019 ambapo Rais Buhari atawania kwa muhula wa pili
-
Aidha, msemaji wa chama tawala(APC) Lanre Issa-Onilu amesema Amina Zakari hana undugu wowote na Rais Buhari
No comments