Header Ads

Rais Magufuli Asema Wakati Mwingine Watanzania Tunajichelewesha Wenyewe


Ameyasema haya wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa mauzo ya Mahindi baina ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Duniani (WFP)

Awaagiza watendaji wa Serikali kuwa wakiona Kontena au vyakula vya WFP waviachie tu viende vifike haraka ili wakulima wa Tanzania wapate fedha

Awataka Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula(NFRA) wawe wanawalipa wakulima fedha zao kwa muda pindi watakapo kamilisha mauzo


No comments

Powered by Blogger.