MKURUGENZI MKUU WA SUMATRA ATINGA KITUO CHA UBUNGO KUANGALIA HALI YA USAFIRI KATIKA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini
(Sumatra), Gilliard Ngewe akipata maelezo kutoka kwa Kamanda wa Usalama
Barabarani Mkoa wa Kinondoni, Solomon Mwangamilo(kushoto) wakati ukaguzi
wa mabasi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini
(Sumatra), Gilliard Ngewe(kulia) akimpa maelezo Mkaguzi wa mabasi wa
Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, Insp. Ibrahimu Samwix(kushoto) wakati wa
ukaguzi wa mabasi katika kituo kikuu cha Mabasi leo jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi wa barabara wa Sumatra, SACP Johansen Kahatano(kushoto)
akimpa maelezo Mkaguzi wa mabasi wa Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, Insp.
Ibrahimu Samwix (kulia) wakati wa ukaguzi wa mabasi katika kituo kikuu
cha Mabasi leo jijini Dar es Salaam.
Kamanda
wa Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, Solomon Mwangamilo(kushoto)
akiangalia ukaguzi unaofanywa na Mkaguzi wa mabasi wa Kituo Kikuu cha
Mabasi Ubungo, Insp. Ibrahimu Samwix(kulia) leo wakati wa ukaguzi wa
mabasi katika kituo kikuu cha mabasi ubungo leo jijini Dar es Salaam.
Askari
wa Usalama barabarani wa ukaguzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, Nuru
Hussein akimpa maelekezo dereva wa basi katika kituo kikuu cha mabasi
Ubungo leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya abiria wakiwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo wakisubiri muda
wa basi kuondoka katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es
Salaam.
No comments