VYAMA VINAVYOUNGA MKONO JIMBO LA CATALONIA KUJITENGA NA UHISPANIA VIMESHINDA UCHAGUZI WA JIMBO LA CATALONIA.
Ikiwa kura zote
zinakaribia kukamillika kuhesabiwa Katika rekodi ya wapiga idadi ya wapiga kura
ambao wamejitokeza vyama hivyo vinaonekana kushinda jambo kimepunguza kidogo
idadi ya viti bungeni.
Matokeo hayo kwa
vyovyote ni habari mbaya kwa waziri mkuu wa Hispania,Mariano Rajoy ambaye
aliingilia kati jimbo hilo kujitenga hivi karibuni na kuitisha uchaguzi huo.
Akiwa uhamishoni mjini Brussels aliyekuwa rais wa Catalonia ,Carles Puigdemont amepongeza matokeo hayo na kusema ni ushindi wa demokrasia kwa sabbu idadi kubwa ya watu walijitokeza ,rekodi ya watu waliopiga kura na idadi ya waliojitokeza ndio iliyosababisha matokeo haya na hakuna anayeweza kuyapinga.

Hata hivyo baada ya
uchaguzi huo tatizo kubwa kwa pande zote ni kwamba hakuna uhakika kuwa uchaguzi
huo na matokeo hayo yanawea kutatua mgogori huo unaendelea baina ya Catalonia
na serikali ya Madrid.
CHANZO; BBC NEWS

No comments