Header Ads

Polisi wanane wauawa baada ya kulipukiwa na bomu nchini Kenya


Askari Polisi waripotiwa kuuawa baada ya kulipukiwa na bomu la kutegwa ardhi katika kaunti ya Wajir nchini Kenya.  Kiongozi wa eneo la Kaskazini-Mashariki mwa Kenya Muhammad Saleh  amefahamisha kuwa  wahalifu waliotega  bomu hilo walishambuliwa baada ya kubainika kuhusika na tukio hilo. 
Tukio hilo limetokea  siku chache baada ya  walinda usalama 6 kuuawa Liboi Garissa mpakani mwa Kenya na Somalia.
Kundi  la wanamgambo wa al shabaab wanashukiwa  kuhusika na ktendo hicho. Mashambulizi kama hayo nchini Kenya yanalenga  jeshi la Kenya linalochunga usalama katika eneo hilo


No comments

Powered by Blogger.